Kitchen Party ya Lilian Onesmo Kiwale

 

Karibu Katika Maandalizi ya Kitchen Party ya Lilian Onesmo Kiwale

Kwa heshima na upendo, familia ya Marehemu Onesmo Kiwale inapenda kukushukuru kwa muda wako na kwa moyo wako wa kujitoa.

Unaalikwa kushiriki nasi katika kufanikisha maandalizi ya Kitchen Party ya binti yetu mpendwa, Lilian Onesmo Kiwale, inayotarajiwa kufanyika Jumapili, tarehe 25 Oktoba 2026, jijini Dar es Salaam.

Mchango wako, mkubwa au mdogo, utakuwa sehemu ya mafanikio ya siku hii ya kipekee na utapokelewa kwa shukrani kubwa.

Njia za Kutuma Mchango

M-Pesa
Namba: 0767 797 926
Jina: Janeth Kiwale

CRDB Bank
Akaunti Na.: 0152283025000
Jina la Akaunti: Lilian Onesmo Kiwale

Tarehe ya mwisho ya kutuma mchango: 18 Oktoba 2026.

"Kila mmoja na atende kama alivyokusudia moyoni mwake; si kwa huzuni wala kwa kulazimishwa, maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu."
— 2 Wakorintho 9:7

Asante sana kwa upendo, ushirikiano na ukarimu wako. Mungu akubariki na akuzidishie mema.

Comments

Popular posts from this blog

Welcome to Innowise Stationery